Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Nyashinski ameondoa zaidi ya nyimbo zake 20 kutoka kwenye majukwaa ya muziki kama Apple Music na Spotify ikiwemo wimbo wa Malaika, Mungu Pekee na Aminia pasipokubainisha sababu za kufanya hivyo.
Uchunguzi umebaini kuwa nyimbo zilizoondolewa zimetengenezwa na mtayarishaji maarufu, mtunzi wa muziki na mwimbaji, Cedric Kadenyi ambaye kwa upande wake hajaondoa nyimbo zozote alizoshirikiana na Nyashinski.
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Vivamus auctor lacinia tesue. Vivamus et tellus in urna faucibus porttitor. Sed auctor ut nunc..
leave a comment
0 comments
login
recommend