loader

Villa News

  • Home    /
  • News updates
Usyk amshinda Fury na kuwa bingwa wa dunia

Tyson Fury alishindwa kwa pointi nchini Saudi Arabia huku Oleksandr Usyk akiwa bingwa wa kwanza wa ndondi za uzani mzito zaidi kushikilia mikanda minne duniani.

Katika usiku uliosheheni ujuzi ...

read more
Mbappe kwenye utawala wa Real Madrid Hispania

Mbappe mmoja kati ya wachezaji mahiri duniani amejiunga na kikosi hicho cha kihistoria cha Mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya akitokea PSG ya Ufaransa ambayo ndiyo timu iliyompa jina kubwa duniani

read more
Uchaguzi Afrika Kusini waiweka ANC njiapanda

ANC imekosa wingi Bungeni, ikilazimika kuunda muungano na vyama vingine ili kuunda Serikali. Mazungumzo yanaendelea kati ya ANC, DA, na IFP, huku changamoto za kiitikadi na kisiasa zikiwa mbele.

read more
Mpina atakiwa kuwasilisha ushahidi wa Bashe kusema uongo bungeni

Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amepewa siku 10 hadi Juni 14, 2024 na Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kuwasilisha ushahidi kwamba Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amelidanganya Bunge.

read more
CTI yataka sheria nzuri kuwalinda wenye viwanda

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Wenye Viwanda nchini, Leodegar Tenga amesema kuwa na sheria nzuri ya kuwalinda wafanyabishara wenye viwanda, ni moja ya vichocheo vya uwekezaji katika sekta hi...

read more
INEC YAWANOA WASIMAMIZI WA VITUO VYA UCHAGUZI JIMBO LA KWAHANI

Wasimamizi na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya Kupiga Kura Jimbo la Kwahani Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar wametakiwa kufanya kazi kwa kujiamini, uadilifu na weledi wanapotekeleza majukumu yao ...

read more

DOWNLOAD THIS APP

There are many variations of passages of Lorem Ipsum available, but passages of Lorem this is wow.

img

Copyright © 2024 Villa Fm Developed by Villa Fm.

Adonis Music R&B