villafm

Mpina atakiwa kuwasilisha ushahidi wa Bashe kusema uongo bungeni

  • Home    /
  • Mpina atakiwa kuwasilisha ushahidi wa Bashe kusema uongo bungeni
Mpina atakiwa kuwasilisha ushahidi wa Bashe kusema uongo bungeni

Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amepewa siku 10 hadi Juni 14, 2024 na Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kuwasilisha ushahidi kwamba Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amelidanganya Bunge.

leave a comment

0 comments

login

author_img

Copyright © 2024 Villa Fm Developed by Villa Fm.

Adonis Music R&B