villafm

CTI yataka sheria nzuri kuwalinda wenye viwanda

  • Home    /
  • CTI yataka sheria nzuri kuwalinda wenye viwanda
CTI yataka sheria nzuri kuwalinda wenye viwanda

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Wenye Viwanda nchini, Leodegar Tenga amesema kuwa na sheria nzuri ya kuwalinda wafanyabishara wenye viwanda, ni moja ya vichocheo vya uwekezaji katika sekta hiyo na kukuza uchumi wa nchi.

leave a comment

0 comments

login

author_img

Copyright © 2024 Villa Fm Developed by Villa Fm.

Adonis Music R&B